Fareedahmoh
Tunazo bidhaa mbalimbali kutoka kwtu sisi wenyewe na nyingine kutoka kwa watoa huduma waaminifu katika ubora na afya yako.
MenuTunao samaki wa maji baridi, chumvi na kutoka kigoma, pamoja na hao zipo dagaa na Vibambala n.k
Tunazo nyama za kuku ( kienyeji na kisasa) ng'ombe, iliyosagwa, soseji n.k
Tunavyo viungo vya kutumia wakati wote kuanzia chai hadi chakula cha usiku.
Tunao unga wa sembe,dona,basmat,lishe n.k
Tunacho Kisamvu, Njegele, Makande, Maharagwe n.k
Pamoja na hayo tunazo bidhaa nyingine kama mayai, mafuta,maziwa nk